Sunday 19 June 2016

CLEVELAND CAVALIERS: CAVS KUPATA MSOSI NA KINYWAJI BURE KABISA MAISHA YAO YOTE WAKISHINDA FAINALI YA NBA


Red Bar & Lounge ambayo wako dakika 20 kutoka uwanja wa Quiken Loans wametoa offer kwa timu ya LeBron James na timu ya Cavs kuwa wakishinda mechi ya fainali ya NBA Jumapili watapewa msosi bure maisha...Offer hizi huwa hazirokei na sasa kazi kwa LeBron na timu yake kuchangamkia offer hii safi kabisa...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment