Sunday 5 June 2016

INTERNATIONAL FRIENDLIES: FRANCE WAIRARUA SCOTLAND


Scotland kiwango kiko chini kuliko cha France na jana walichapwa 3-0 bila ubishi...Mabao yalipatikana mapema tu kupitia Giroud wa Arsenal na Koscielny na pia wa Arsenal...Giroud alipachika bao mapema dakika ya 3 na dakika ya 35...Koscielny alipachika bao dakika ya 39...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment