Wednesday 15 June 2016

PREMIER LEAGUE FIXTURES 2016-17: ARSENAL KUFUNGUA DIMBA NA LIVERPOOL




Premier League fixtures zimetangazwa asubuhi ya leo...Arsenal wataanza kufukuzia kombe ndani ya Emiraates na Liverpool wakati mabingwa watetezi watakuwa nyumbani na Hull City...Jose Mourinho na Manchester United watasafiri kwenda Bournemouth...Kocha mpya wa Everton ataingia uwanjani dhidi ya Tottenham...Bofya hapa uoate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment