Friday 3 June 2016

ASTON VILLA: ROBERTO DI MATTEO KOCHA MPYA VILLA PARK


Kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matteo amechaguliwa kuwa kocha wa Aston Villa baada ya kocha Remy Garde kutimuliwa March...Msaidizi wake atakuwa Steve Clarke ambae nae alikuwa Blues...


Wengine ambao walikuwa kwenye hiyo list ya kuongoza Villa ni kocha wa zamani wa Manchester United David Moyes na kocha wa sasa wa Derby County Nigel Pearson...Mmiliki mpya wa Villa Dr.Tony Xia anaamini mabadiliko yatafanyika ndani ya Villa....Xia anasubiri umiliki wake uhalalishe hivi karibuni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment