Saturday 11 June 2016

EURO 2016: FRANCE YAANZA VIZURI KWA KUIFINGA ROMANIA 2-1


Wenyeji France wameanza vizuri baada ya kumchapa Romania 2-1...Romania walianza kwa kulishambulia lango la France na kuna wakati bado kidogo wapate bao lakini kipa akawa makini sana...Bao la kwanza lilitoka kwa striker wa Arsenal, Giroud, na badae Evra alianza foul ndani ya box na Romania wakapachika bao na kusawazisha...


Bao la ushindi lilitoka kwa Dimitri Payet dakika za lala salama alivyo piga mkwaju wa mbali na kumwacha kipa anashangaa na kutoa macho...Nyota wa mchezo alikuwa Pogba kwa kumakini wake na style yake lakini Payet ndio gumzo la ndani ya France...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment