Monday 6 June 2016

MOUNT KILIMANJARO: AARON PHIPPS MLEMAVU APANDA KILIMANJARO KUTUMIA 'MIKONO NA MAGOTI'


Kilimanjaro ni mlima maarufu sana nchini Tanzania na kila mwaka watu wengi sana hupanda Kilimanjaro...Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote duniani kama mlima uliosimama kipekee...Mchezaji wa Rugby ya walemavu kutoka England Aaron Phipps amefanikiwa kupanda mlima Kilimanjaro bila kuwa na miguu na kwa kutumia magoti na mikono...


Sasa ni mtu pekee mlemavu kufika kilele cha Kilimanjaro bila msaada...Phipps alitumia siku 5 kupanda mita 5,895 kilele cha Kilimanjaro...


Kweli anastahili pongezi sana na wengine ambao hatujapanda tujifue tukapande mlima Kilimanjaro...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment