Wednesday 8 June 2016

US OPEN 2016: TIGER WOODS HATOSHIRIKI


Tiger Woods amesema hatocheza US OPEN 2016 ndani ya Oakmont Country Club na Quicken Loans Nationa ndani ya Congressional Country Club Maryland...Baada ya kuumia mgongo aliambiwa itachukua muda mrefu kupona na yeye ameona hilo na ameamua kutocheza michuano mikubwa ambayo inaweza kumletea madhara badae...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment