Sunday 19 June 2016

COPA AMERICA: LIONEL MESSI AMEFIKIA REKODI YA BATISTUTA YA ARGENTINA


Lionel Messi amefanikiwa kufikia rekodi ya mkongwe Batistuta ya mabao 54 kwa Argentina...Batistuta alichezea timu ya Fiorentina kwa muda mrefu na ni mfungaji bora huko...Ni mchezaji wa 12 Serie A kwa ufungaji mabao...Messi alifanya hivyo walivyoshinda 4-1 dhidi ya  Venezuela...Pia Messi alisaidia hayo mabao mengine kupatikana kupitia Gozalo Higuain mabao 2 na Erick Lamela bao 1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment