Thursday 9 June 2016

NBA PLAYOFFS: CLEVELAND CAVALIERS WAPATA MWANGA WASHINDA GAME 3


Hali kidogo inawapa matumaini Cleveland Cavaliers wakiongozwa na LeBron James baada ya kushinda Game 3 120-90...Mdau mkubwa wa Max Sports mtaalam wa bishara na masuala ya ICT, George Kusila, alitabiri kuwa Cavs watashinda Game 3 nyumbani ingawa mjadala huo ulihusisha wadau wengine ambao walikuwa na maoni tofauti lakini naona utabiri wa Kusila umefanikiwa...LeBron James alisema hakuteka mchezo bali Kyrie Irving ndiye aliyeteka mchezo na kubadilisha game hatimaye kushinda...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment