Sunday 12 June 2016

RACERS GRAND PRIX: USAIN BOLT ACHELEWA KUANZA LAKINI ASHINDA JAMAICE


Usain Bolt ameshinda mbio za mitaa 100 za Racers Grand Prix huko Jamaica...Usain alikuwa muda wa sekunde 9.88 na ni muda wa 2 wa kasi mwaka huu...Usain aliwapita Asafa Powell na Yohan Blake...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment