Wednesday 8 June 2016

NBA: CENTER WA ZAMANI SEAN ROOKS AFARIKI DUNIA


Sean Rooks, mchezaji na kocha msaidizi wa Philadelphia 76'ers, afariki dunia ghafla...Sean amefariki akiwa na miaka 46...Sean alikuwa na umbo kubwa na alikuwa Center wa kutegemewa sana...Aliingia NBA na kuchukuliwa na Dallas Mavericks kiwa draft pick ya 2... 


Timu nyingine alizowahi kuzichezea ni Minnesota Timberwolves, Atlanta Hawks, Los Angeles Clippers, New Orleans Hornets na Orlando Magic...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment