Friday 3 June 2016

NBA FINALS: GOLDEN STATE WARRIORS WACHIKIA GAME 1


Golden State Warriors wamefanikiwa kushinda Game 1 ya fainali za NBA dhidi ya Cleveland Calaviers...Stephen Curry hakuwa vizuri kwani kuna wakati alikuwa anakosa basket zakawaida kabisa lakini hata hivyo waliibuka na ushindi wa 104-89...Bench la Warriors lilitoa wachezaji watatu waliopata double-digits akiwemo Shaun Livingston...


LeBron James alijitahidi kwa kumaliza na points 23 na rebounds 12...Kyrie Irving nae alicheza vizuri akimaliza na points 26 na assist 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment