Saturday 11 June 2016

MUHAMMAD ALI: MUHAMMAD ALI AMEZIKWA KWA UPENDO MKUBWA SANA


Muhammad Ali amezikwa kwa upendo mkubwa sana huko Louisville Kentucky....Maelfu ya watu walijitokeza kumuaga Muhammad Ali na walianza na sala ya Kiislam na badae watu wakaweza kumuaga shujaa Ali...



Barabara zote zilifungwa wakati anapitishwa mitaa ya Louisville na watu walikuwa pembeni wakipungia jeneza lake wakati linapita na kurushia maua gari lililobeba maua...Watu went mashuhuri walikuwepo kumuaga Ali...



Mike Tyson na Will Smith walikuwa kati ya waliosindikiza mwili wa Marehamu...



Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, alikuwa kati wa watu walioongea na kumkumbuka Ali katika ubora wake...


Rais Barak Obama alishindwa kumuaga Ali katokana na graduation ya mtoto wake lakini alikuwa salaam kupitia luninga...


Pumzika kwa amani Shujaa Muhammad Ali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment