Wednesday 8 June 2016

FRANCESCO TOTTI: TOTTI ASAINIMKATABA WA MWISHO KABISA


Legend wa mpira kutoka Italy ligi ya Serie A, Francesco Totti, amesema huu ni mkataba wake wa mwisho na timu ya Roma ambayo ameichezea maisha yake yote...Totti ni shujaa huko Italy na ni mfungaji bora wa 2 wa Italy toka mpira uvumbuliwe huko...Ameifungia Roma mabao 304 katika mechi 758 na ni rekodi kwa clubs za Italy...Totti ameingia Roma akiwa na miaka 12 na akaanza kucheza rasmmi akiwa na miaka 16 mwaka 1993...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment