In a rain drenched game Roma Legend and Italian greatest footballer Francesco Totti managed to score a late winner against Sampdoria...Roma secured a 3-2 victory against Sampdoria in a very wet game...
Roma are now 2 points off leaders Juventus... Totti has now scored in evey 23 Serie A seasons.
Legend wa mpira kutoka Italy ligi ya Serie A, Francesco Totti, amesema huu ni mkataba wake wa mwisho na timu ya Roma ambayo ameichezea maisha yake yote...Totti ni shujaa huko Italy na ni mfungaji bora wa 2 wa Italy toka mpira uvumbuliwe huko...Ameifungia Roma mabao 304 katika mechi 758 na ni rekodi kwa clubs za Italy...Totti ameingia Roma akiwa na miaka 12 na akaanza kucheza rasmmi akiwa na miaka 16 mwaka 1993...Bofya hapa upate habari zaidi.
Mmoja kati ya wachezaji wakali sana wa Italy Francesco Totti na mkali wa tennis kutoka Australia na namba 20 duniani Nick Kyrgios kijana hatari wa tennis ambae ana mbwembwe nyingi sana akiwa kwenye court walikutana na kucheza mechi ya kirafiki ya tennis doubles ili kusaidia wasio jiweza...
Mechi hiyo ya Charity ilifanyika Rome ambako mashindano ya ATP ya Rome Masters karibu yanaanza...
Kwa Waitaliano Totti ni mchezaji bora kuliko wote maada amecheza mechi zaidi ya 600 kwa nchi yake na ameshinda tuzi nyingi sana za ndani na nje ya Italy...
Kwa sasa Totti anaichezea Roma na bado hajasema kama ataendelea kwani umri umesogea sana sasa...Bofya hapa upate habari zaidi