Kocha wa zamani wa Southampton, Ronald Keoman, ameingia kuinoa Everton...Everton wamesema Keoman atakaa miaka 3 baada ya kukaa Southampton miala 2...Everton walikuwa hawana kocha toka wamtimue Robert Martinez kabla ya msimu uliopita haujaisha...Koeman ambae alikuwa mchezaji wa Netherlands alisakwa na mmiliki mpya Farhad Moshiri na atalipwa milioni 6 pounds za Uingereza...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 14 June 2016
EVERTON: RONALD KOEMAN KOCHA MPYA GOODISON PARK
Kocha wa zamani wa Southampton, Ronald Keoman, ameingia kuinoa Everton...Everton wamesema Keoman atakaa miaka 3 baada ya kukaa Southampton miala 2...Everton walikuwa hawana kocha toka wamtimue Robert Martinez kabla ya msimu uliopita haujaisha...Koeman ambae alikuwa mchezaji wa Netherlands alisakwa na mmiliki mpya Farhad Moshiri na atalipwa milioni 6 pounds za Uingereza...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment