Sunday 19 June 2016

ARSENAL: WENGER ASEMA JAMIE VARDY KUBAKIA LEICESTER


Kocha wa Arsenal amesema Jamie Vardy atabakia Leicester kwa mwaka na hato kuja Emirates...Habari hizi zimeingia Max Sports muda huu kutoka China ambako kocha Wenger alipo sasa...Wenger akiongea na TV moja huko alisema Vardy inaonekana amekataa kuhama na atakuwa Leicerster kwa mwaka zaidi...


Arsenal walianza kuonyesha kumtaka lakini Vardy alikuwa na majukumu ya kitaifa ya Euro 2016 na mipango yote ikasimama...Endelea kupitia Max Sports kupaya habari za haraka...

No comments:

Post a Comment