Tuesday 14 June 2016

EURO 2016: DEFENSE YA ITALY IMESAIDIA USHINDI DHIDI YA BELGIUM


Mechi kali ya jana ya Italy na Belgium ilimalizika 2-0...Tofauti na wadau wa mpira walivyo tegemea kuwa Belgium itakuwa tishio lakini mambo hayakuwa hivyo...Italy nyuma ilikuwa na ukuta hatari ambao kila Belgium wakijaribu kushambulia wanaambulia patupu...Katika maakundi magumu kundi hili limeshapachikwa jina la 'Group of death' yaani kundi la kifo...Vijana wa kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte, Emanuele Giaccherini wa Sunderland na Graziano Pelle, ndio waliofunga mabao ndani ya mji wa Lyon...




Lukaku wa Belgium aliwakosakosa Italy kwa kupiga juu...Kutokana na game ya Sweden na Ireland kutoka sare ya 1-1 Italy sasa wako mbele kwa points 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment