Monday 20 June 2016

US OPEN 2016: DUSTIN JOHNSON ASHINDA KWA KUFANYA KWELI SHIMO LA MWISHO




Hali ilikuwa sio shwari kwa Dustin Johnson mashimo matatu ya mwisho kutokana na penalty aliyokuwa inamkabili huku akifukuziwa na wachezaji wengine...Kilichomsaidia sana ni shimo la mwisho ambalo alimaliza kwa birdie na kushangiliwa sana na mashabiki na mke wake na mtoto ndogo...Johnson alikuwa anafukuzwa na Shane Lowry na Scott Piercy na Jim Furyk...




Tatizo lililojitokeza mpaka atapewa hiyo penalty ya stroke 1 kutokana na waandaaji kuhisi alisukumiza mpira bahati mbaya na yeye alisema hakusukumisa mpira shimoni...Waandaaji wamelaumiwa sana na wachezaji hasa Rory McIlory na Jordan Spieth...Bofya hapa upate habai zaidi.

No comments:

Post a Comment