Thursday 16 June 2016

EURO 2016: MJUE MCHEZAJI MZEE KULIKO WOTE EURO 2016




Mchezaji mzee kuliko wote katika mashindano ya Euro 2016 ni Gabor Kiraly... Mchezaji huyo ni golikipa wa Hungary ambaye ana miaka 40... Kiraly ameweka gumzo kubwa katika mashindano haya baada ya kuendelea na utamaduni wake wa kuvaa suruali ya mazoezi badala ya zile zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kuchezea mpira... Katika mahojiano na waandishi wa habari baada ya ushindi dhidi ya Austria, Kiraly alisema.. " suruali yangu inaendelea kurudia historia, kuniletea baraka na kuniwezesha kucheza vizuri Zaidi.."

No comments:

Post a Comment