Monday 20 June 2016

NBA FINAL: LEBRON NA CLEVELAND CAVALIERS W AWEKA HISTORIA MPYA NBA




Cleveland Cavaliers wamechukua kombe la NBA kwa kuichapa Golden State Warriors 93-89...Cavs wameweka historia mpya NBA kwa kuwa timu pekee iliyotoka 3-1 kwenye series na kuchukua ubingwa...Cav na Golden State walianza vizuri kila timu inafunga mara wanakuwa sare...




Tofauti kubwa kati ya game ya leo ni kwamba Golden State waliamu kurusha mpira toka mbali (perimeter shooting) na Cavs waliamua kucheza basketball kama inavyotakiwa kucheza (basic fundamentals of basketball)...




Hapo badae Quarter ya 3 Golden State kidogo waliweza kusogea kidogo lakini Cavs waliweza kurudi na kuwafikia...Golden State ilisaidiwa sana na Dreymond Green ambae aliweza kutupa mipira ya mbali kibao......




Dakika za mwisho Kyrie Irving aliruka na kupachika 3 pointer hatari na hapo ndipo Cavs waliweza kutumia akili na uzoefu wa ziada...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment