Monday 6 June 2016

INTER MILAN: ASILIMIA 68.55 YA HISA ZA INTER MILAN IMENUNULIWA NA SUNING COMMERCE CO LTD


Suning Commerce Group Co Ltd wanatoa £220 milioni za awali kuchukua hisa karibu na 70% ya Inter Milan....Deal ilikuwa watoe £590 kwa ujumla na wataanza na hiyo pesa ya awapi...

Erick Thohil, Mwenyekiti wa Inter Milan.

Mmiliki wa zamani Erick Thohil atabakia kama Mwenyekiti na amebakia na 13% tu za umiliki...

Zhang Jindong, Mwenyekiti wa Suning Group

Mwenyekiti wa Suning Zhang Jindong amesema wataendelea kuingiza pesa kwenye club ili waweze kuvutia wachezaji wazuri duniani...


Kwa sasa Inter ni timu ambayo inamilikiwa na watu wa nje kwa mara ya kwanza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment