Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 19 June 2016
F1: NICO ROSBERG ASHINDA SHINDANO JIPYA KABISA LA AZERBAIJAN GRAND PRIX
Azerbaijan Grand Prix ni circuit mpya kabisa ambayo barabara yake inahitajika mtaani kama Monaco...Nico ameshinda baada ya kuongoza muda wote toka mwanzo...Sebastian Vettel amechukua nafasi ya 2 na Sergio Perez nafasibya 3....Hamilton alianza nafasi ya 10 na akamalizia nafasi ya 5...Ni mara ya kwanza timu ya Mercedes inashinda European Grand Prix..
Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment