Tuesday 7 June 2016

MUHAMMAD ALI: WILL SMITH NA LENOX LEWIS WATABEBA JENEZA LA ALI IJUMAA


Will Smith msani wa filamu Marekani na Bingwa wa zamani wa ndondi kutoka England Lenox Lewis ni kati ya watu 8 amabo watabeba jeneza la Muhammad Ali siku wa Ijumaa.

Ali ataagwa siku ya Ijumaa na Alhamisi kutakuwa na sala ya Kiislam.

Baada ya misa ya kuaga mwili wa Muhammad Ali Ijumaa atazikwa na familia na marafiki wachache.

Kumbukumbu ya siku hiyo itafanyika ndani ya KFC Yum Center jijini Louisville, jimbo la Kentucky...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment