Tuesday 14 June 2016

NBA: KYRIE IRVING AWACHANGANYA GOLDEN STATE WARRIORS





Cleveland Cavaliers wamegoma kutolewa nje kwenye NBA Finals...Kinara aliyeamua kucheza ball leo alikuwa Kyrie Irving...Kyrie alikuwa moto sana leo akisaidiwa na Lebron James...Cleveland walishinda Game 5 112-97...Kwa sasa series iko 4-2...


Golden State na walijitahidi lakini King James na Irving walikuwa balaa na wote wameibuka na points 41...Mkali wa Golden State, Stephen Curry, alijitahidi lakini labda uchovu ulizidi maana mwishioni walikuwa wanakosa baskets nyingi tu...



Ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya NBA kwa wachezaji wanaocheza Finals kwenye timu moja kuibuka na points sawa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment