Saturday 4 June 2016

ARSENAL: ARSENAL WANAMTAKA JAMIE VARDY


Kutokana na kipengele kwenye mkataba wa Jamie Vardy Arsenal wameonyesha wazi wanamtaka striker huyo hatari wa Leicester City...Arsenal sio kawaida yao kutafuta watu maarufu lakini Arsene Wenger ameamua kumfukuzia Vardy kwa deal ambayo iko mitaa ya £20 milioni...Leicester bado wanamhitaji lakini Arsenal wameshaanza mazungumzo na sasa ni upande wa Vardy unasubiriwa akubali kuhama au la...Manchester United pia wanamtaka Vadry lakini wameamua wanamtaka Zlatan Ibrahimovic zaidi na kuwaachia Arsenal wamfukuzie Vardy...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment