Sunday 5 June 2016

AFCON 2017: EGYPT NA SENEGAL WAFUZU KUINGIA FAINALI GABON


Egypt wamefanikiwa kuingia michuano ya African Cup of Nations ambayo yatafanyika Gabon...Egypt walishinda mechi yao dhidi ya Tanzania 2-0...Mbwana Samatta alishindwa kuwaweka Tanzania sare baada ya kukosa penalty muhimu kwa kupiga juu...


Mohamed Salah winger hatari ndie alipachika mabao yote mawili...Sadio Mane winger wa Southampton  na Mame Briam Diouf striker wa Stoke City ndio walioipeleka Senegal fainali zay Afcon kwa kuwachapa Burundi 2-0...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment