Tuesday, 14 June 2016
NFL: FLETCHER COX ASAINI MKATABA WA PESA NYINGI KULIKO YOTE KWA NAFASI YA DEFENSIVE TACKLE
Ukiacha quarterbacks ambao hupokea pesa nyingi sana kwenye NFL sasa dogo Fletcher Cox ambae ni defensive tackle amesainia mkataba wa $103 milioni na $ 63 milioni ziko tayari...Dogo huyu mwenye umri wa miaka 25 ana sacks 22 katika misimu yake 4...Mkataba wake ni wa miaka 6...
Cox amemshukuru mmiliki wa Philadelphia Eagles, Mr. Lurie, na uongozi wote wa Eagles...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment