Tuesday 14 June 2016

SEPP BLATTER: BLATTER ATOA SIRI NZITO ASEMA MICHUANO YA JUU YA EUROPE INAPANGWA




Sepp Blatter boss wa zamani wa FIFA ambae alisimamishwa kutokana na tuhuma za rushwa na ambae yuko chini ya uchunguzi amesema michuano ya Europe hupangwa wakati timu zinachaguliwa kuwekwa kwenye makundi...Blatter amesema mipira ya moto na baridi hutumika kuchagua timu gani itacheza...Blatter amesema katika kiwango cha michuano ya dunia hakuna ujanja unaotumika bali michuano ya Europe ujanja unafanyika...




Amesema ujanja huo ni kwamba wanaweka mipira kweye fridge na wakati wa kuchagua unajua upi wa baridi upi wa moto...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment