Tuesday 7 June 2016

MANCHESTER UNITED: ERIC BAILLY KARIBU KUINGIZA MIGUU OLD TRAFFORD KWA DAU LA £30 MILIONI


Manchester United wanamalizia deal ya kumchukua Eric Bailly kutoka Villarreal kwa dau la milioni £30...Dogo mwenye umri wa miaka 22 anatarajiwa kupitishwa na madaktari leo na badae kutangazwa kwa mashabiki...Jose Mourinho yuko kwenye mkakati wa kuimarisha timu na ameanza kujazia mapengo ndani ya squad ya old trafford...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment