Saturday 18 June 2016

COPA AMERICA 2016: COLOMBIA YAINGIA NUSU FAINALI YA COPA BAADA YA KUILAZA PERU KWENYE MATUTA

(Picha: USA Today)
Timu ya Colombia imeingia nusu fainali ya mashindano ya Copa America yanaochezewa nchini Marekani baada ya kuifunga timu ya Peru kwa penati 4-2...


Timu hizo ambazo zilimaliza game sare na hadi dakika za nyongeza bila kufungana, zililazimika kupiga penati ili kumpata mshindi wa kuingia nusu fainali katika mashindano hayo...


Penati zilizokoswa na wachezaji wa timu ya Peru, Trauco na Gieva, zilisababisha kuipa ushindi timu ya Colombia kwa bao 4 dhidi ya 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment