Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 7 June 2016
RIO 2016: STEPHEN CURRY HATOSHIRIKI OLYMPICS
Stephen Curry amesema hatoshiriki Olympics ambazo zitaanza mwezi August...Sababu kuu aliyoitoa ni majeraha ambayo amepata wakati wa msimu wa NBA...Inabidi apone vizuri na aanze kufikiria kujitayarisha kwa msimu wa 2016-2017...Curry kwa sasa anawaongoza Golden State kwenye NBA Finals...GSW wanaongoza series 2-0...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment