Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 3 June 2016
AFRICA CUP OF NATION 2017: ALGERIA YAPATA NAFASI GABON
Algeria imefanikiwa kupata nafasi ya kucheza AFCON 2017 kutokana na ushindi wao wa 2-0 dhidi ya Seychelles...Algeria wameshinda Group J na mabao yalitoka kwa Yassine Benzia na El Arabi Saudani...Algeria wamechukua points zao 13 katika mechi 5 na hakuna timu inaweza kumfikia...Leo mechi zingine za kufuzu zinaendelea...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment