Friday 17 June 2016

NBA FINAL: MKE WA STEPHEN CURRY, AYESHA CURRY, ASEMA AILIPUA NBA KUWA INAPANGA MATOKEO



Mke wa MVP Stephen Curry amejitokeza na kuiwasha NBA na kusema ligi imepangwa kwaajili ya pesa...


Kwa mtazano wake ligi imepanga Game 7 ichezwe kisa pesa...Alitoa tamko hilo kwa hasira kwenye tweeter page yake @ayeshacurry na badae kuitoka...


Badae akatweet tena kwamba ni hasira za muda kutokana na mme wake kuambiwa amefanya foul na kupewa technical call...Ameendelea kusema usiku huo mapolisi walimbagua mzee wake na kumwambia atoe vitambulisho vyote...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment