Showing posts with label Cleveland. Show all posts
Showing posts with label Cleveland. Show all posts

Thursday, 9 June 2016

NBA PLAYOFFS: CLEVELAND CAVALIERS WAPATA MWANGA WASHINDA GAME 3


Hali kidogo inawapa matumaini Cleveland Cavaliers wakiongozwa na LeBron James baada ya kushinda Game 3 120-90...Mdau mkubwa wa Max Sports mtaalam wa bishara na masuala ya ICT, George Kusila, alitabiri kuwa Cavs watashinda Game 3 nyumbani ingawa mjadala huo ulihusisha wadau wengine ambao walikuwa na maoni tofauti lakini naona utabiri wa Kusila umefanikiwa...LeBron James alisema hakuteka mchezo bali Kyrie Irving ndiye aliyeteka mchezo na kubadilisha game hatimaye kushinda...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 26 November 2015

NBA: LEBRON JAMES AMPITA REGGIE MILLER KWA POINTS



LeBron James wa Cleveland Cavaliers amefanikiwa kumpita mkongwe wa basketball Reggie Miller na kuchukua nafasi ya 18 ya mfungaji bora NBA...