Showing posts with label Jose. Show all posts
Showing posts with label Jose. Show all posts

Monday, 5 December 2016

EPL: FANS ARE FURIOUS AT MAROUANE FELLAINI AND SOME CALLING HIM "A DONKEY"


Manchester United woes continue as their match with Everton ended with a 1-1 draw thanks to Marouane Fellaini...He came in as a sub at the 85th minute but that completely changed things as United were on their way to grab 3 points...

Friday, 22 July 2016

MANCHESTER CITY: PEP NA SQUAD YAKE WAINGIA CHINA TAYARI KUKUTANA NA UNITED


Pep Guardiola na timu yake ya Manchester City wameingia China kucheza mechi za awali za kirafiki...


Manchester City watakutana na Manchster United na Borrusia Dortmund ndani ya Beijing katika mechi za kujiweka sawa tayari kwa msimu mpya...


Ni mara ya kwanza Pep anakutana na Jose mourinho toka mwaka 2012...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 15 June 2016

PREMIER LEAGUE FIXTURES 2016-17: ARSENAL KUFUNGUA DIMBA NA LIVERPOOL




Premier League fixtures zimetangazwa asubuhi ya leo...Arsenal wataanza kufukuzia kombe ndani ya Emiraates na Liverpool wakati mabingwa watetezi watakuwa nyumbani na Hull City...Jose Mourinho na Manchester United watasafiri kwenda Bournemouth...Kocha mpya wa Everton ataingia uwanjani dhidi ya Tottenham...Bofya hapa uoate habari zaidi.