Tuesday 15 March 2016

ARSENAL: BODI YA ARSENAL BADO YAMPIGA TAFU ARSENE WENGER ASILIMIA 100


Aresene Wenger anakingiwa kifua na bodi ya Arsenal katika kipindi hiki kigumu kwa kocha huyo....Bodi imesema bado Arsene yuko poa na bado haijaamua kumtimua mpaka huko mbeleni...Wenger amesema anahofia mashabiki kufarakana juu yake kunaathiri timu yake lakini bado anamatumaini na timu yake...Watu wa karibu sana na Wenger wanasema mkataba wake wa pounds milioni 8 kwa mwaka unaoishia 2017 ndio Wenger anataka kumaliza nao...Pia mmiliki wa Arsenal, Stan Kroenke, yuko nyuma ya Wenger asilimia 100...Kuna tetesi kuwa Ozil na Sanchez wanaweza kusepa kwani bado hawaja kaa mkao wa kusaini mkataba mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment