Friday 18 March 2016

CHAMPIONS LEAGUE 2016: MANCHESTER CITY KUCHEZA NA PSG ROBO FAINALI


Manchester City wajikuta kwenye draw watacheza na PSG kwenye robo fainali ya Champions League...Manchester City ndio timu pekee iliyobakia kwenye Champions league na pia ni mara ya kwanza kabisa kufika robo fainali...Barca watakutana na Atletico Madrid wakati Real watakutana na Wolfsburg...Benfika watachuana na Bayern Munich....Mechi hizo zitachezwa April 5-6 na 12-14...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment