Monday 14 March 2016

BORUSSIA DORTMUND: WACHEZAJI WAOMBOLEZA MSHABIKI ALIYEFARIKI UWANJANI


Borussia Dortmund imeomboleza kifo cha mshabili aliyefariki kiwa uwanjani...Mashabiki 2 walianguka mmoja alifariki na mwingine anaendelea vizuri hospitalini...Baada ya mashabiki kusikia kifo hocho mechi ilichezwa wakati mashabiki wako kimwa kabisa wakiomboleza...Dortmund walishinda mechi hiyo dhidi ya FSV Mainz 05 2-0...Apumzike kwa amani mshabiki wa Dortmund...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment