Thursday 10 March 2016

NEWCASTLE UNITED: RAFAEL BENITEZ NDIE KOCHA WANAYEMTAKA NEWCASTLE


Baada ya kocha Steve McClaren Newcastle wako tayari kumchukua Rafa Benitez kuwasaidia...Newcastle ni timu kongwe ambayo iko hatiani kushuka daraja na kocha atakayechaguliwa inabidi awe mwenye uzoefu kweli kweli...Benitez aliwahi kuwa kocha wa Liverpool na alishachukua Champions League akiwa na wazee wa the Kop...Pia amewahi kuwa kocha wa Chelsea kwa muda mfupi na hivi karibuni alikuwa kocha wa Real Madrid lakini alitimuliwa baada ya muda mfupi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment