Showing posts with label Rafa Benitez. Show all posts
Showing posts with label Rafa Benitez. Show all posts

Tuesday, 7 June 2016

ARSENAL: MOUSSA SISSOKO ANATAKA KUIHAMA NEWCASTLE NA KUHAMIA ARSENAL


Moussa Sissoko amemwambia kocha wake Rafa Benitez kuwa anataka kuhamia Arsenal...Sissoko anasema anataka kuhamia "the beautiful Arsenal" au Arsenal nzuri kwa lugha yetu...Amesema anataka kufuata nyayo za mchezaji anayempenda sana Partick Viera...Patrick Viera alikuwa mchezaji hodari na makini wa Arsenal miaka ya nyuma...Sissoko anayetokea France amesema hawezi kucheza Championship na anataka kukuza kipaji chake na acheze na timu kubwa duniani na hatimaye timu yake ya taifa ya France...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 26 May 2016

NEWCASTLE UNITED: BENITEZ AMEAMUA KUBAKI NEWCASTLE


Raphael Benitez atabakia St. James' Park kwa mkataba wa miaka 3 baada ya Newcastle kushuka daraja msimu uliopita...Benitez aliingia Newcastle mwezi wa 3 baada ya Steve McLarena kutimuliwa kwa kushindwa kuinyanyua Newcastle...Sababu kubwa Benitez amesema ya kubakia Newcastle ni upendo wa mashabiki...Benitez atakuwa anasimamia kilakitu kinachohusu mpira hapo St. James' Park...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 11 March 2016

BREAKING NEWS: BENITEZ ACHUKUA NAFASI YA STEVE NEWCASTLE


Rafa Benitez kocha wa zamani wa Liverpool na Real Madrid ameingia Newcastle tayari kubadilisha mambo...Baada ya Steve McClaren kutimuliwa Benitez sasa anamlima wa kupanda...Benitez ameingia Newcastle na makocha wasaidizi Fabio Pechia, Francisco de Miguel Moreno na Antonio Gomez Perez...


Rafa amesaini mkataba wa miaka 3 na magpies...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 10 March 2016

NEWCASTLE UNITED: RAFAEL BENITEZ NDIE KOCHA WANAYEMTAKA NEWCASTLE


Baada ya kocha Steve McClaren Newcastle wako tayari kumchukua Rafa Benitez kuwasaidia...Newcastle ni timu kongwe ambayo iko hatiani kushuka daraja na kocha atakayechaguliwa inabidi awe mwenye uzoefu kweli kweli...Benitez aliwahi kuwa kocha wa Liverpool na alishachukua Champions League akiwa na wazee wa the Kop...Pia amewahi kuwa kocha wa Chelsea kwa muda mfupi na hivi karibuni alikuwa kocha wa Real Madrid lakini alitimuliwa baada ya muda mfupi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 5 January 2016

REAL MADRD: ZIDANE NDANI YA TIZI LA KWANZA


Kocha mpya wa Real Madrid ambae ni legend, Zinedine Zidane, amewapigisha tizi Madrid kwa mara ya kwanza...Mashabiki 6,000 walijitokeza kuangalia mazoezi ya Madrid...



Zidane ambae aliwahi kuichezea timu hiyo alikuwa anaongoza timu B ya Madrid...



Rafael Benitez alifukuzwa baada ya tathmini kufanywa na kubaini timu inahitaju kocha mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 24 November 2015

REAL MADRID: RAIS WA REAL MADRID AMUUNGA MKONO BENITEZ BAADA YA KICHAPO


Florentino Perez, Rais wa Real Madrid, anamuunga mkono Rafa Benitez baada ya kichapo cha 4-0 kutoka kwa Liverpool...Amesema yeye na bodi wako pamoja na Benitez na kusema kwamba issue sio Benitez issue ni Carlo Ancelotti ambae anaisema vibaya club...Mashabiki walipiga kelele wakitaka rais aondoke baada ya kuchapwa...


Real sasa iko nafasi ya 3 ikipitwa na Barcelona ambao wanaongoza wakiwa points 6 mbele na Atletico wakiwa na points 2 mbele...Perez pia amesema stricker Ronaldo hakusema kwamba wakibaki na huyo kocha hawatashinda...Bofya hapa upate habari zaidi.