Thursday 26 May 2016

NEWCASTLE UNITED: BENITEZ AMEAMUA KUBAKI NEWCASTLE


Raphael Benitez atabakia St. James' Park kwa mkataba wa miaka 3 baada ya Newcastle kushuka daraja msimu uliopita...Benitez aliingia Newcastle mwezi wa 3 baada ya Steve McLarena kutimuliwa kwa kushindwa kuinyanyua Newcastle...Sababu kubwa Benitez amesema ya kubakia Newcastle ni upendo wa mashabiki...Benitez atakuwa anasimamia kilakitu kinachohusu mpira hapo St. James' Park...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment