Thursday 26 May 2016

TFF FEDERATION CUP: YANGA MABINGWA


Dar es Salaam Young Africans au almaaruf kwa jina la Yanga wameshinda kombe la FA au Shirikisho kwa kuichapa bila huruma Azam Fc wana Lamba lamba 3-1 ndani ya Uwanja wa Ben Mkapa...




Vijana wa kocha Pluijm ni mabingwa wa Premier League na Federations Cup nchini Tanzania.




Amis Tambwe alikuwa nyota wa mchezo kwani ndie aliyepachika mabao 2 kati ya 3.

Bao la Azam lilitoka kwa mchezaji wa zamani wa Yanga Didier Kavumbagu dakika ya 48... Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment