Tuesday 24 May 2016

CRISTIANO RONALDO: RONALDO AMESEMA ATACHEZA FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUUMIA


Hali haikuwa shwari ndani ya kambi ya Real Madrid baada ya nyota wao Cristiano Ronaldo kuumia mazoezini...


Nyota huyo alipata jeraha la paja alipogongana na kipa Kiko Casilla...Real Madrid watakutana na Atletico Madrid kwenye fainali ya Champions League...Mechi hiyo itafanyika Jumamosi ijayo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment