Tuesday 24 May 2016

FRENCH OPEN 2016: DJOKOVIC AANZA VIZURI BILA KUTOKA JASHO


Bingwa wa tennis duniani Novak Djokovic ameanza vizuri muchuamo mikali sana ya French Open au kwa jina lingine maarufu Roland-Garros...Djokovic ametoka mumchapa Yen-Hsun Lu muda si mrefu na alishinda kwa 6-4, 6-1, 6-1 bila kutoka jasho...Mechi ijayo Djokovic atapambana na Steve Darcis anayetokea Belgium...Steve ni namba 161 duniani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment