Monday 9 May 2016

ENGLAND: NYOTA WA ENGLAND WA ZAMANI PAUL KONCHESKY ANUSURIKA KWENYE AJALI


Mchezaji wa zamani wa England Paul Konchesky amenusurika kwenye ajali ya gari...Konchesky aligonga gari yake ya aina ya Mercedes Benz na anabahati hakuumia...



Konchesky ni beki wa kushoto wa Leicester na alikuwa Queens Park Rangers kwa mkopo msimu huu...




Mke wake aliingia Tweeter na kusema anabahati hakuvunja mifupa ni kwamba kaumia kidogo tu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment