Wednesday 18 May 2016

ROMELU LUKAKU: LUKAKU MBIONI KUONDOKA EVERTON KWA DAU LA £65 MILIONI


Romelu Lukaku yuko mbioni kuondoka Everton kabla ya Euro 2016 kuanza...PSG, Manchester United na Chelsea wameonyesha nia ya kumnyakua Lukaku...Baba yake Lukaku alisema mtoto wake ambae anatokea Belgium kwamba kabla ya Euro 2016 kuanza Lukaku atakuwa ameshauzwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment