Tuesday 17 May 2016

CLAUDIO RANIERI: BOSS WA LEICESTER KOCHA WA MWAKA


Kocha wa mwaka ni Claudio Ranieri...Chama cha makocha kimemtunuku Claudi Ranieri kuwa Kocha wa Mwaka...Kwa upande wa Championship amechukua kocha wa Brighton Chirs Hughton...Ranieri ameipa ushindi Leicester kwa mara ya kwanza kabisa akiwa kocha wao kwa mara ya kwanza...


Ranieri amekuwa mtu wa 2 kushinda tuzo hiyo ambaye sio muingereza mwingine ni Arsene Wenger aliyeshinda hiyo tuzo mwaka 2002 na 2004...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment