Friday 20 May 2016

MLS: KAKA AONGOZA KUWA MCHEZAJI ANAYEPATA PESA NYINGI MAREKANI WAMO GERRARD NA LAMPARD


Steve Gerrard na Frank Lampard wako kati wa wachezaji 5 wanaolipwa pesa nyingi kwenye ligi ya MLS...Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Kaka, anaongoza kwa kupata kipato kikubwa kuliko wote...Gerrard mwenye umri wa miaka 35 analipwa na LA Galaxy $6,132,500 (£4,199,313) na mwenzake Lampard anapipwa na New York City $6,000,000 (£4,108,660)...Aliyewahi kuwa mchezaji bora duniani, Kaka, anachukua $7,168,500 (£4,908,660) kutoka Orlando City...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment