Monday, 23 May 2016

GREAT MANCHESTER RUN: KENENISA BEKELE ASHINDA MANCHESTER NA KIPSANG AWA WA 2


Kenenisa bekele ameshindda Great Manchester Run kwa umbali wa kilometa 10 na muda wa dakika 28 na sekunde 8...



Mshindi wa 2 alikuwa Wilson Kipsang...



Kwa upande wa wanawake Tirunesh Dibaba alimshinda mkenya Edna Kiplagat kwa muda wa dakika 31 na sekunde 16...Ni mara ya 3 Dibaba anashinda Great Manchester Run...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment